Sijaelewa sasa unataka wapandishe bei au washushe?
Kama wewe huna hela unafikiri kila mtu hana?Hebu jiongeze na wewe, huko vijijini wanaweza kulipa Tsh. 109,000 kwa mwezi kununua kifurushi?
nadhani techology inachangia pia internet imeongeza ushindaniInasemekana DSTV wapo kwenye hali mbaya sana. Watu wanaangalia TBC1 kwa kuwa ni ya bure na hawalipii vifurushi.
Wana mpaka vifurushi vya elfu 19,000 / 26,500 / 29,000 ila nadhani chaneli ambayo hua inaonyesha EPL (SS3) haiko kwenye vifurushi hivi vitatu.Hebu jiongeze na wewe, huko vijijini wanaweza kulipa Tsh. 109,000 kwa mwezi kununua kifurushi?
Kiufupi ni kwamba sekta ya tv,radio, magazeti na ving'amuzi ipo katika hali mbaya sana. Watu mpira wanaangalia kwenye vibanda,bar na kwenye mtandao , wanaacha dstv nyumbani haijalipiwa ni mwendo wa TBC1.nadhani techology inachangia pia internet imeongeza ushindani
Mie mteja wao wa kifurushi cha 19,000 na TBC1 ipo humoInasemekana DSTV wapo kwenye hali mbaya sana. Watu wanaangalia TBC1 kwa kuwa ni ya bure na hawalipii vifurushi.
Mkuu, hayo maeneo yote kama yanaonyesha EPL kupitia SS3 basi bado hio ni ya DStv. Najua wapenzi wa EPL ambao nyumbani wana DStv lakini bado wataenda Bar kuangalia mechi!Kiufupi ni kwamba sekta ya tv,radio, magazeti na ving'amuzi ipo katika hali mbaya sana. Watu mpira wanaangalia kwenye vibanda,bar na kwenye mtandao , wanaacha dstv nyumbani haijalipiwa ni mwendo wa TBC1.
Mahitaji yakiongezeka kuliko bidhaa, bei hupanda. Hapo ni kama unawachochea wapandishe bei, heri ungekaa kimyaDStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa DStv kuangalia upya bei za vifurushi vyake ili watu wengi zaidi hata vijijini wamudu kulipia na kuangalia mechi za EPL kama ilivyo kwa Azam ilivyoenea hata vijijini kwasababu ya ligi ya Tanzania.
Upo sahihi, ila asilimia kubwa ya watu hawalipii kabisa.Mie mteja wao wa kifurushi cha 19,000 na TBC1 ipo humo
Mkuu, hayo maeneo yote kama yanaonyesha EPL kupitia SS3 basi bado hio ni ya DStv. Najua wapenzi wa EPL ambao nyumbani wana DStv lakini bado wataenda Bar kuangalia mechi!
ni ushauri wa bure kwaoWana mpaka vifurushi vya elfu 19,000 / 26,500 / 29,000 ila nadhani chaneli ambayo hua inaonyesha EPL (SS3) haiko kwenye vifurushi hivi vitatu.
Wafanye mpango ili mechi za AVFC ziwe zinaonyeshwa pia kwenye vifurushi hivi!
Mkuu kuna uhusiano mkubwa kati ya demand, supply na price. Kama purchasing power ni ndogo demand na supply havifui dafu. Wale fungulia mbwa viwanjani ni mfano halisi wa effect ya low purchasing power kwenye demand and supply.Mahitaji yakiongezeka kuliko bidhaa, bei hupanda. Hapo ni kama unawachochea wapandishe bei, heri ungekaa kimya
Hakuna mtanzania anayekaa kuangalia TV.yuko tayari akakodi CD za akina DJ Murphy ila sio kuangalia huo upuuzi.Kiufupi ni kwamba sekta ya tv,radio, magazeti na ving'amuzi ipo katika hali mbaya sana. Watu mpira wanaangalia kwenye vibanda,bar na kwenye mtandao , wanaacha dstv nyumbani haijalipiwa ni mwendo wa TBC1.
Wana mpaka vifurushi vya elfu 19,000 / 26,500 / 29,000 ila nadhani chaneli ambayo hua inaonyesha EPL (SS3) haiko kwenye vifurushi hivi vitatu.
Wafanye mpango ili mechi za AVFC ziwe zinaonyeshwa pia kwenye vifurushi hivi!