Kuna kampuni moja ya simu iliyokuwa inaitwa Tritel walikuwaga na mawazo sawa na ya kwako wakakiona cha mtema kuni.
Kwa maisha ya kitanzania wengi hata walioko mjini kulipia hiyo pesa kwa ajiri ya dstv tu ni ngumu!! Hicho cha 19,000 tabuKama wewe huna hela unafikiri kila mtu hana?
Hilo nalo neno mkuu!!! Kwani kule hakuna longo longo bali ni uwezo wako tu!!