Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Leo ni siku ya kuonyeshana upendo, tuma salamu kwa memba wanaokuongezea furaha au maarifa humu jukwaani?
- Vipi huko kwenu Feb 14 ni siku special au hayo ni mambo ya kizungu hayawahusu?
- Ratiba yako ikoje? umeshapata mualiko mahali au unasubiri kulala mwenyewe usiku kama panga la mmasai?
- Nyimbo gani za upendo, mapenzi, huba zinakuburudisha siku ya leo?
- Uliza swali lenye utata kuhusu mapenzi na mahusiano, ujibiwe.