Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Kuna sehemu nikipita huwa nanunua sambusa za kula kama tano hivi[emoji4][emoji4], sasa j'pili tulipokuwa kanisani mchungaji akasema watu tutubu dhambi zetu [emoji120]. Yule mzee muuza sambas akanyanyuka akaenda kutubu, basi akasema anaomba Mungu amsamehe kwa sababu huwa anaweka nyama ya mbwa kwenye sambusa[emoji15][emoji15]. Yaani sijui hata yale mawe yalitoka wapi ndani ya kanisa, lakini hata mchungaji alirusha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]