Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema sasa imeingia Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya mpango wake kabambe wa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao, Hii ni baada ya mikutano yao mingi yenye mafanikio Mkoani Tanga
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara wa leo hii 05/07/2024, mapema kabisa kijijini kabisa huko Kihurio, Same Mashariki, ambako pamoja na Mkutano huu inatarajiwa mikutano kadhaa isiyo na idadi itavurumishwa kutwa nzima kwenye eneo hilo