Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Poleni wafiwaBasi hilo lilikuwa likiongozana na mabasi mengine manne, na dereva wake alisinzia na ghafla alishtuka ameligonga kalavati hilo.
Wapumzike kwa amaniMkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, leo Oktoba 22,2024, amesema basi hilo limepata ajali majira ya alfajiri, wakati likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Machame, Wilaya ya Hai kwenye shughuli za maziko ya mwanakwaya mwenzao.
Kwa mujibu wa DC Mgeni, basi hilo liliacha njia na kugonga kalavati dogo la Kirinjiko.
"Ni kweli watu watano wamepoteza maisha, wakiwamo wanawake watatu na wanaume wawili. Wote hawa ni wana kwaya KKKT waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Machame,"amesema.
Basi hilo lilikuwa likiongozana na mabasi mengine manne, na dereva wake alisinzia na ghafla alishtuka ameligonga kalavati hilo.
Watawadaka haswaPoleni wafiwa
Uzoefu wa kuendesha safari ndefu atakuwa hana
Au kuna tatizo la Mombo yaani Mombo problem
Maiti zinazoenda Moshi huwa zinasimama pale Mombo wafiwa na madereva wale nyama choma na kunywa pombe kutafuta steam ya kutungua kilio kabla kuendelea na safari na madereva huwa wanatandika pombe pale
Niwaombe Traffic wakae kule mbele ya Mombo misafara yote ya maiti waisimamishe na wawapime ulevi madereva wote walioko kwenye msafara watawadaka wengi
Nimeshakoswa sana na ajali kwa sababu ya usingizi,either nimesinzia au gari linalokuja mbele yangu dereva kasinzia,hii mara nyingi hutokea usiku mkubwa mida ya saa 8 mpaka saa 11 alfajri,ni Mungu tu anatulinda ila huwa ni hatari sana...Usingizi ni muuaji mkubwa sana barabarani.
Ni uzembe tu kama mtu unasinzia ila bado unaforce kuendesha gari kama sio uzembe ni kitu gani?Usingizi ni muuaji mkubwa sana barabarani.
Uandishi haujakamilikaMkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, leo Oktoba 22,2024, amesema basi hilo limepata ajali majira ya alfajiri, wakati likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Machame, Wilaya ya Hai kwenye shughuli za maziko ya mwanakwaya mwenzao.