Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
No, niuzembe kwasababu dereva alipaswa alale usingizi wa kutosha kabla ya kuanza safari.Usingizi ni muuaji mkubwa sana barabarani.
Yaani dereva aliendesha gari akiwa ana Fatigue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, niuzembe kwasababu dereva alipaswa alale usingizi wa kutosha kabla ya kuanza safari.Usingizi ni muuaji mkubwa sana barabarani.
uchaguzi mkuu una mambo??Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, leo Oktoba 22,2024, amesema basi hilo limepata ajali majira ya alfajiri, wakati likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Machame, Wilaya ya Hai kwenye shughuli za maziko ya mwanakwaya mwenzao.
Kwa mujibu wa DC Mgeni, basi hilo liliacha njia na kugonga kalavati dogo la Kirinjiko.
"Ni kweli watu watano wamepoteza maisha, wakiwamo wanawake watatu na wanaume wawili. Wote hawa ni wana kwaya KKKT waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Machame,"amesema.
Basi hilo lilikuwa likiongozana na mabasi mengine manne, na dereva wake alisinzia na ghafla alishtuka ameligonga kalavati hilo.
Basi hilo lilikuwa likiongozana na mabasi mengine manne, na dereva wake alisinzia na ghafla alishtuka ameligonga kalavati hilo.🥺😪Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, leo Oktoba 22,2024, amesema basi hilo limepata ajali majira ya alfajiri, wakati likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Machame, Wilaya ya Hai kwenye shughuli za maziko ya mwanakwaya mwenzao.
Kwa mujibu wa DC Mgeni, basi hilo liliacha njia na kugonga kalavati dogo la Kirinjiko.
"Ni kweli watu watano wamepoteza maisha, wakiwamo wanawake watatu na wanaume wawili. Wote hawa ni wana kwaya KKKT waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Machame,"amesema.
Basi hilo lilikuwa likiongozana na mabasi mengine manne, na dereva wake alisinzia na ghafla alishtuka ameligonga kalavati hilo.
------dereva wake alisinzia