Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Pale njiani Same, wananchi walijikusanya barabarani ili angalau wamsikilize shujaa Lissu.
Katika hadhara hiyo pia akafanikiwa kukutana na mwalimu aliyemfundisha kwenye shule ya watoto wenye vipaji maalumu vya akili ya Ilboru Arusha, shule ambayo Lissu alisomea na kumaliza kidato cha nne mwaka 1986.
Mwalimu huyo akamuomba kuwa akifanikiwa kuwa rais alete katiba mpya maana katiba hii ya sasa ni kikwazo cha maendeleo ya kweli!