Sameer Rao wa kwenye ukurasa wa JF Facebook ni Nani?

Status
Not open for further replies.
Wengi hawamfaham lakin namfaham huyu jamaa kwa kazi anayofanya.
Inshort sameer rao ni mtaalam wa mifumo ulinzi mtandaoni. Huyu jamaa ni anafanya kazi ya kulinda server za Jf.
Ni penetration tester.. ethical hacker.. It security expert.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona melo anakuja kurusha watu wa huko JF kama ninyi mnavyojaribu kutujulisha watu wenu ni akina nani huko? Na wewe unaona kila anachofanya melo unatakiwa kuiga?
Unashindwa kuelewa jinsi ulivyo ndivyo ukurasa wako wa FB utaappear. Huyo aliyeletwa hapa kujadiliwa ni mtu kama sisi isipokuwa kinachowapa watu maswali inakuaje mtu kama sisi kila post ya Jf kule FB anakuwa tagged. Ni sawa sawa kila post hapa JF tukiandika chini automatically inajiandika Constantine Juma. Unafikiri hatutahoji huyo Constantine ni nani? Bado sijaona kosa la mleta mada.

Usiwe mtu wa kuwaza negative kwenye kila kitu ulichokichukia maana hata wabaya wana mazuri yao pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…