Chaz Lee
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 588
- 494
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kumfahamu huyu huyu SAMEER RAO wa ukurasa wa jamiiforums Facebook ni Nani?...
Msingi wa kutaka kumfahamu ni
kwasababu hakuna link/habari yeyote ya Jamiiforums wanayopost Facebook bila kumtag huyu mtu, Pia nimewiwa kumfahamu kutokana na watu wengi kwenye page hiyo yenye takribani wafuatiliaji zaidi ya 3million kuulizia kuhusu mtu huyo.
Pamoja nkumuulizia huko, binafsi nimefanya utafiti binafsi wakutembelea page yake pasipo kukuta taarifa zake za msingi zaidi ya picha yake ionekanayo mtu mwanamume mwenye asili ya kihindi.
- Hivyo basi mods Paw Invisible Maxence Melo na wengineo mnaweza kunifahamisha huyu MTU ni Nani? Na anaunasaba gani na jamiiforums?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashindwa kuelewa jinsi ulivyo ndivyo ukurasa wako wa FB utaappear. Huyo aliyeletwa hapa kujadiliwa ni mtu kama sisi isipokuwa kinachowapa watu maswali inakuaje mtu kama sisi kila post ya Jf kule FB anakuwa tagged. Ni sawa sawa kila post hapa JF tukiandika chini automatically inajiandika Constantine Juma. Unafikiri hatutahoji huyo Constantine ni nani? Bado sijaona kosa la mleta mada.Umeona melo anakuja kurusha watu wa huko JF kama ninyi mnavyojaribu kutujulisha watu wenu ni akina nani huko? Na wewe unaona kila anachofanya melo unatakiwa kuiga?