Samehe kabla hujalala

Ili iweje kamanda?

Yaani nimetuma nauli mpaka na ya kutolea halafu kazima simu ndo unasema nisamehe? Tena siku hiyo hiyo? Come on man! [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Umeongea la maana sana japo utekelezaji wake ni mgumu. Nijuavyo mimi kusamehe, hasa kwa makosa makubwa yenye kuumiza, ni process na siyo kitendo cha kufumba na kufumbua.
 
Kweli Mkuu ndo maana kwenye Law of Omerta wanaani kwamba "Vendetta is the best forgiveness" kwani haiumizi tena moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…