ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kabla hujapanda kitandani kulala kila siku usiku msamehe kila aliyekukosea na ulale ukiwa na MOYO msafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu ndo maana kwenye Law of Omerta wanaani kwamba "Vendetta is the best forgiveness" kwani haiumizi tena moyo.Ili iweje kamanda?
Yaani nimetuma nauli mpaka na ya kutolea halafu kazima simu ndo unasema nisamehe? Tena siku hiyo hiyo? Come on man! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Umeongea la maana sana japo utekelezaji wake ni mgumu. Nijuavyo mimi kusamehe, hasa kwa makosa makubwa yenye kuumiza, ni process na siyo kitendo cha kufumba na kufumbua.