Sami Khedira amwaga wino Juve

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
326
Sami Khedira atajiunga Juventus kwa uhamisho huru kutoka Real Madrid Julai 1.
Mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani, 28, amekubali mkataba wa miaka minne na mabingwa mara mbili wa Italia waliofungwa kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Khedira alijiunga na Real kutoka klabu ya kwao ya Stuttgart mwaka 2010 na ameshinda ligi, Kombe la Hispania na Ligi ya Mabingwa akiwa Hispania.
Lakini alicheza mara chache msimu huu baada ya mlolongo wa majeruhi.
 
duh, mid ya juve ina thamani ya paun 7.6mill, pogba, marchisio, pirlo na khedira lakn shughuli yake ni balaa.
 
hawq jamaa sijui kwa nini wanapenda wazee!
 
naomuona kama kamanda mkuu wa midfield ya juve kwa siku zijazo.. mana pirlo na "mwanae" pogba siku za kuishi turin zinahesabika.
 
Pogba si anaondoka??

mkuu, Agnelli (chairman wa juve) aliwahi sema kuwa pogba saiz amekuwa mchezaji mkubwa na staa hvo wao kum handle itakua ngumu, kwa kauli hyo inaonekana kabisa jamaa anaondoka na barca wameonesha kumtaka, (madrid walikanusha kwenye official website yao kuwa hawapo interested nae), man city nao wanahusishwa kumtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…