Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 326
Sami Khedira atajiunga Juventus kwa uhamisho huru kutoka Real Madrid Julai 1.
Mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani, 28, amekubali mkataba wa miaka minne na mabingwa mara mbili wa Italia waliofungwa kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Khedira alijiunga na Real kutoka klabu ya kwao ya Stuttgart mwaka 2010 na ameshinda ligi, Kombe la Hispania na Ligi ya Mabingwa akiwa Hispania.
Lakini alicheza mara chache msimu huu baada ya mlolongo wa majeruhi.