Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Msomari mwizi uyo weka mbali na maliNamkubali Sana Bashe sema dogo anapigwa vita Sana na wale madogo watatu
Hivi punde pale Kondoa Rais Samia akiwa njiani kuelekea Babati alimuita Waziri wa Kilimo ndugu Bashe na kwa msisitizo akamtaka aongelee kwa kina mambo matatu yahusuyo Sekta ya Kilimo ambayo ni Mbolea, Mbegu na Chakula.
Ajabu, kwa utulivu na umakini mkubwa ndugu Bashe amefanikiwa kuukwepa mtego aliotegewa wa ama kumzodoa Bashiru aliye-trend na issue ya kuwataka Wakulima waache u-zwazwa lau kumkosoa kwa kauli ile aliyoitoa kwenye Jukwaa la Wakulima siku chache zilizopita.
Heko Bashe.
NB: Bashiru siyo Ndugai!
Ujamaa wa mtu unapimwaje?Bashiru sio ndugai.
Ni msomi na ni mwanaharakati, mjamaa Hasa, Huwa hawapindishi.
Ujamaa wa mtu unapimwaje?
Sio uhalisia wa maisha yake?,maanakauli na matendo hubadirika,una uhakika gani kwamba anachosema na anachotenda ndo uhalisia wake?Kauli na matendo yake nk.
Hatuachiani maji mezaniCCM wanaishi kwa kuviziana saa hivi.
Bashiru hapindishi?Bashiru sio ndugai.
Ni msomi na ni mwanaharakati, mjamaa Hasa, Huwa hawapindishi.
Nina HAKIKA,Sio uhalisia wa maisha yake?,maanakauli na matendo hubadirika,una uhakika gani kwamba anachosema na anachotenda ndo uhalisia wake?
Bashiru ndo yule yule,Bashiru hapindishi?
Bashiru wa tume ya katiba mpya ya Warioba ni Sawa na Bashiru wa Magufuli?
Bashe wa leo siyo yule wa bunge la bajeti. Sasa ameshagundua kuwa hana jipya na kuwa hata yeye anaweza kuwa nje ya jukwaaHivi punde pale Kondoa Rais Samia akiwa njiani kuelekea Babati alimuita Waziri wa Kilimo ndugu Bashe na kwa msisitizo akamtaka aongelee kwa kina mambo matatu yahusuyo Sekta ya Kilimo ambayo ni Mbolea, Mbegu na Chakula.
Ajabu, kwa utulivu na umakini mkubwa ndugu Bashe amefanikiwa kuukwepa mtego aliotegewa wa ama kumzodoa Bashiru aliye-trend na issue ya kuwataka Wakulima waache u-zwazwa lau kumkosoa kwa kauli ile aliyoitoa kwenye Jukwaa la Wakulima siku chache zilizopita.
Heko Bashe.
NB: Bashiru siyo Ndugai!
Ni Bashiru wawili tofauti kabisa. Hata yule Bashiru wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na yule wa wakati ule kidole chake kinachovya kwenye buyu la asali pale Lumumba na baadaye Magogoni ni viumbe wawili tofauti kabisa.Bashiru hapindishi?
Bashiru wa tume ya katiba mpya ya Warioba ni Sawa na Bashiru wa Magufuli?