Samia alitarajia Bashe amnange Bashiru pale Kondoa

Bashiru ndo yule yule,

Magufuli alikuwa mjamaa Hasa,

Isingekuwa Rahisi kwenda kinyume nae, kumbuka Ujamaa na udicteta huenda pamoja.
Point yako hapa iwapi mkuu.

Bashiru ni yule yule wa tume ya Warioba na wakati wa Magu?

Maneno yake na matendo yake ni Sawa vipindi hivyo viwili?
 
Asiye badilika ni kinana tu. yeye na rushwa ni kama pete na kidole.

Sasa hivi UVICCM wanagawana Rushwa nae anaenjoy tu.. kama kipindi kile pale Dom..watu walikamatwa na mabegi ya hela.
 
Mnamkuza Bashiru bure tu. Mbona yule ni mtu mdogo Sana ambaye tu umaarufu wake umekuja baada ya kuwasaidia wabunge kuingia bungeni wengi wao bila kupingwa kwa dhulma Sana dhidi ya upinzani. Ameshirikiana na jpm kuua, kutesa na kunyanyasa halafu m amkuza. Sisi tunasimama na mama till end of this battle between you sukuma gang and we who like things move swiftly. Mi ningekuwa mwanajeshi nimeshamuua Bashiru hadharani ili atowekea Kama tulivyomuua fasta mungu wenu wa chato
 
bashe anajitambua si kama akina kigwa ambao matumbo yao yanategemea sana uchawa ndo yapate kushiba.
 
Utakufa wewe kabla ya Dr Bashiru
 
Utakufa wewe kabla ya Dr Bashiru
Afe nchi iPone Kama alivyokufa jpm nchi iko shwali hamna kutekana tena Kama kwamba tulikuwa tunaishi cosovo. Nchi ilikuwa imepatwa chini lie habari. Never ever again should we elect people like him. Yeye alikuwa anaweza kufoka tu utafikiri alikuwa anaongoza familia yake.
 
Bashe ni kijana mwanasiasa aliyepitia Mengi hadi kufikia alipo!
Bashe anayajua madhara ya Makundi ndani ya CCM,maana alikwishaonja Chungu yake.

Na mpaka wa leo sidhani kama huwa anaongea tena na Rostam Azizi.
 
Hao wakulima Kondoa hakuna hata aliyemsikia huyo Bashiru, mnamkuza bure tu
Tuzungumzie masuala ya umeme na maji na sio huyo Bashiru
 
Huyo ni mmoja tu akiongea mwingine hali itakuwaje.
 
Bashiru amechanganyikiwa tokea bwana'ke afe so hana mpango.
 
Clip iko wp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…