kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 634 Nov 23, 2022 #41 REJESHO HURU said: Msomari mwizi uyo weka mbali na mali Click to expand... Huwa kana hitajika ka ushahidi japo kidogo, kama hakuna ushahidi hiyo inaonekana ni chuki binafsi
REJESHO HURU said: Msomari mwizi uyo weka mbali na mali Click to expand... Huwa kana hitajika ka ushahidi japo kidogo, kama hakuna ushahidi hiyo inaonekana ni chuki binafsi
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Nov 23, 2022 #42 Bashe apewe Uwaziri Mkuu ameonyesha uwezo wa hali ya juu sana kuliko yale Masubiani ya mwanzo.
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Nov 23, 2022 #43 #hashtag Bashiru siyo Ndungai
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Nov 23, 2022 #44 kadakokigondile said: Huwa kana hitajika ka ushahidi japo kidogo, kama hakuna ushahidi hiyo inaonekana ni chuki binafsi Click to expand... Ipo siku mtajua nyie endeleni mchekea chekea
kadakokigondile said: Huwa kana hitajika ka ushahidi japo kidogo, kama hakuna ushahidi hiyo inaonekana ni chuki binafsi Click to expand... Ipo siku mtajua nyie endeleni mchekea chekea