GE2025 Samia alivyomkumbatia kwa furaha Kikwete mara baada ya Uapisho kukamilika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakutakiwa kuvuruga uchaguzi ili abaki madarakani, angeendesha uchaguzi vizuri tu bado alikuwa na uwezo wa kushinda kwa asilimia kuanzia 56% na kutunza heshima yake. CHADEMA na ACT zisingeweza kumzidi, ila angepata mchuano mkubwa sana, ingawa mwishowe angeibuka mshindi halali. Sasa hivi dunia yote inajua kuwa yeye ni mshindi haramu.
 
Mwalimu..this has been my point all along. Yaani, haya yaliyotokea hakukuwa na lolote lenye kuhalalisha...au kutolea sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…