Masikini mzee wa watu anashudia live mgoni wake akitamba mbele ya macho yake.Yupo hapo kulia kabisa pembeni ya nguzo ameshika bendera, zoom utamwona
Pole sana. Nao watakufa hata kama si leo hata wala kesho au kwa matamanio yetu. Watakufa tena vifo vibaya naimin.Hii ni mbaya sana, kila nikifikiri mwili wa ndugu yangu upo mochwari natamani hii iwe mapema zaidi.
Sidhani kama ndoa yao iko haiNaomba picha ya MR HAFIDH akishuhudia tukio hilo
Ndoa au uhawara?Sidhani kama ndoa yao iko hai
Hujawahi kukumbatia au kukumbatiwa kwenye maisha yako?Anawakumbatia mwenyewe hadharani, akipostiwa wanaanza vitisho🙆♂️🙆♂️
Ameen.Pole sana. Nao watakufa hata kama si leo hata wala kesho au kwa matamanio yetu. Watakufa tena vifo vibaya naimin.
Wauaji wa Tanzania. Wote hao watakwenda ICC, Kikwete alishakataliwa na Nyerere, Mkapa akakaidi, sasa tupo na shida kubwa. Tutaona mwisho wao.Rais Samia alivyomkumbatia kwa furaha Rais mstaafu Jakaya Kikwete mara baada ya shughuli ya Uapisho kukamilika.
Haya hana wanatia aibu hawa watu Wallahi sijui hawajui km kuna kufaYaani ameshindwa hata kuzuia furaha yake ikabidi wapongezane hadharani na shetani mwenzie.
Unaanzaje kuonesha furaha vile tena kwa mtu ambaye inaaminika yuko nyuma ya kila uchafu unaoendelea hapa nchini?
Kweli shetani huwa hana aibu.
Hujawahi kukumbatia au kukumbatiwa kwenye maisha yako?