Na asipoumwa wala kuwa mahututi?Kuna Tetesi,
Ameandika Maria Sarungi "Msishangae kesho mkisikia muumbe au hata mwenyekiti wa Tume ya Chande anaumwa yuko mahtuti!
Familia za hawa wajumbe wawe makini SANA! Mtakuja kuniambia"
View attachment 3580421
Watafariki kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali.Na asipoumwa wala kuwa mahututi!?
Kazi na Utu...Tunasonga mbeleMhhh!
Kauli hii aliwahi kuitamka Rais Magufuli kuhusu wahanga wa tetemeko la Bukoba, na baadaye yeye mwenyewe akafarikiMwafaa
Huyo dada Sarungi sasa aingie rasmi kwenye shughuli za waganga wa kienyeji, anaota sana mabaya kuhusiana na watu ambao hana sauti juu ya maisha yao binafsi.Kuna Tetesi,
Ameandika Maria Sarungi "Msishangae kesho mkisikia muumbe au hata mwenyekiti wa Tume ya Chande anaumwa yuko mahtuti!
Familia za hawa wajumbe wawe makini SANA! Mtakuja kuniambia"
View attachment 3580421
Kamanda in Chief hana mzaha 🙌🏿🙌🏿Wacha awaue tu.
Wananeemeka!? Au wanakufa kila kukicha !?Huyo dada Sarungi sasa aingie rasmi kwenye shughuli za waganga wa kienyeji, anaota sana mabaya kuhusiana na watu ambao hana sauti juu ya maisha yao binafsi.
Anachokifanya ni sawa na kuombea watu njaa, wanaweza kuendelea kula bata halafu yeye akaishia kuumia moyoni kila anapowaona wanazidi kuneemeka.
Sio kila mtu anakufa kwa njaa katika dunia hii, jaribu kuelewa kilichoandikwa.Wananeemeka!? Au wanakufa kila kukicha !?
Achaa kuteta wahalifuSio kila mtu anakufa kwa njaa katika dunia hii, jaribu kuelewa kilichoandikwa.
Wahalifu ni wale walioleta fujo tarehe 29 October 2025 kisha wakashughulikiwa.Achaa kuteta wahalifu
Ikiwemo kuwauwa na watoto, akina mama, vijana na wazee ...Wahalifu ni wale walioleta fujo tarehe 29 October 2025 kisha wakashughulikiwa.
Walioanzisha fujo walitengeneza mazingira ya vita. Vurugu sio kitu cha kuombea kitokee kwani vita havina macho.Ikiwemo kuwauwa na watoto, akina mama, vijana na wazee ...
Walioanzisha fujo walikua watoto, akina mama, dada, vijana wazee na wengine walifuatwa majumbani mwao kuuawawa na wengine kumiminiwa risasi wakiwa ndani ya Banda la kuangalia mpira, kwaio wote kwa pamoja walipigwa risasi za UBONGO, kichwa, kifua, miguu, mikono, kama Kuna binti mmoja Mdogo alipigwa ya utosini, nafikiri alikua amebeba silaha ndio mana walimuwahi ..na baada ya hao Rais wa nchi hio alijitapa akisema "mbona na sisi wenzetu Zanzibar mliwaua mwaka 2001"Walioanzisha fujo walitengeneza mazingira ya vita. Vurugu sio kitu cha kuombea kitokee kwani vita havina macho.
Huna akiliWahalifu ni wale walioleta fujo tarehe 29 October 2025 kisha wakashughulikiwa.
Una akili finyu sanaWalioanzisha fujo walitengeneza mazingira ya vita. Vurugu sio kitu cha kuombea kitokee kwani vita havina macho.