Achana na hayo wewe hujuwi kupanga nikuchaguwa ? Twende tukalime siasa waachie wenyeweKipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje
Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same
Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.
Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.
Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!
Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki
Wasaidizi wake hawaeleweki
Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.
Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?
Serious kabisa mnategemea accountability hapa
Samia must go!!
Nenda Kwa Lucas Mwanshambwa akububujishie machozi yake ya chiniKm lissu anavyowapenda mashoga wenzie km wewe hapo. Hivi mngese km wewe utajifananisha Makonda?!!! Unafirimbwa kweli wewe
Akina Mushambwa,Tlatlah,Chiembe,stakehigh namagenge yaoWengi tu
Unalia nini sasa?We kibwengo nenda kaharishe huo uvundo, unashinda humu kuandika uchafu, we una mtindio wa akili, akili imejaa vinyesi.
Ile public bureaucracy imepotea tangu enzi za mkapaKipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje
Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same
Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.
Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.
Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!
Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki
Wasaidizi wake hawaeleweki
Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.
Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?
Serious kabisa mnategemea accountability hapa
Samia must go!!
Watu wenye dalili za uadilifu hawatakiwi serikalini awamu hiiKipindi Cha Nyerere wasomi walisoma kuja kulitumikia Taifa kweli kweli na Nyerere aliwatumia baada ya kuwasomesha nje
Mwinyi,Mkapa, Kikwete the same
Magufuli ndio usiseme alifuata ma professor mpaka vyuoni Udsm na Mzumbe.
Ndalichako
Kabudi
Kijazi
Mfugale
Mawaziri CV zilishiba kweli kweli watu wazima kwa vijana walipiga kazi.
Sasa waziri mkuu na Makamo wa Rais wanamkimbia!!
Sasa Samia mawaziri wake hawaeleweki
Wasaidizi wake hawaeleweki
Anachukua tu vibabu wenye Umri wake ndio hao wanamkimbia.
Tatizo Nini maana yake baada ya uchaguzi serikali itaongozwa na magenge ya wafoji vyeti na wauni wengine Kama wakina Bashite, sabaya, chief Godlove, hamonaze, shilole na madj?
Serious kabisa mnategemea accountability hapa
Samia must go!!
Na mzee wa kufoji vyeti, Tarimba!Wamebaki kina Msukuma na std 7 wengi