WapiAgongwe
Mimi ndimi AMIRATI MKUU WA GESHI LA VIBWENYE. Ukibisha nakudinyaUkiona baba wa familia anaanza kubwata na kusema 'MIMI NDIO MWANAUME KATIKA HII NYUMBA' ujue huyo baba hana nguvu za kiume au hana pesa.
Ukiwa hujiamini lazima ujitutumue kidogo ili kuweka balansi na kuwakumbusha wewe ni nani maana kimsingi wanakuona kama mbwiga.
Kwani we ni nani? umetoka wapi? sangapi? jina lako nani? those are the questions roaming around the mind of an incompetent fella creating self-doubt and a need for quick validation.
Ofkozi hata BICHWA KOMWE ni AMIRI JESHI MKUU WA VIBWENYE.
Mimi ndimi AMIRATI MKUU WA GESHI LA VIBWENYE. Ukibisha nakudinya.
Cc: Mbaga Jr secretarybird Yohimbe bark Mpaji Mungu The Mongolian Savage adriz Mufti kuku The Infinity
Mkuu unamwaga kimombo sio poa.Ukiona baba wa familia anaanza kubwata na kusema 'MIMI NDIO MWANAUME KATIKA HII NYUMBA' ujue huyo baba hana nguvu za kiume au hana pesa.
Ukiwa hujiamini lazima ujitutumue kidogo ili kuweka balansi na kuwakumbusha wewe ni nani maana kimsingi wanakuona kama mbwiga.
Kwani we ni nani? umetoka wapi? sangapi? jina lako nani? those are the questions roaming around the mind of an incompetent fella creating self-doubt and a need for quick validation.
Ofkozi hata BICHWA KOMWE ni AMIRI JESHI MKUU WA VIBWENYE.
Mimi ndimi AMIRATI MKUU WA GESHI LA VIBWENYE. Ukibisha nakudinya.
Cc: Mbaga Jr secretarybird Yohimbe bark Mpaji Mungu The Mongolian Savage adriz Mufti kuku The Infinity
MchagulieWapi
Hapo kwenye kiingereza umenipiga chenga ya rejareja πUkiona baba wa familia anaanza kubwata na kusema 'MIMI NDIO MWANAUME KATIKA HII NYUMBA' ujue huyo baba hana nguvu za kiume au hana pesa.
Ukiwa hujiamini lazima ujitutumue kidogo ili kuweka balansi na kuwakumbusha wewe ni nani maana kimsingi wanakuona kama mbwiga.
Kwani we ni nani? umetoka wapi? sangapi? jina lako nani? those are the questions roaming around the mind of an incompetent fella creating self-doubt and a need for quick validation.
Ofkozi hata BICHWA KOMWE ni AMIRI JESHI MKUU WA VIBWENYE.
Mimi ndimi AMIRATI MKUU WA GESHI LA VIBWENYE. Ukibisha nakudinya.
Cc: Mbaga Jr secretarybird Yohimbe bark Mpaji Mungu The Mongolian Savage adriz Mufti kuku The Infinity
Wewe akili huna, unadhani kwa siku anatamka mara moja?Ametoa mara 3100+
Amekaa madarakani kwa takrban siku 1400 na ushehe..
Nyumbu mtoa post unayaonaje hayo mahesabu?
Shemeji jamani umesahau nimesoma MAKERERE UNIVERSITY πππππMkuu unamwaga kimombo sio poa.