BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
πππππ njoo geto basi shemeji nikutafsirie neno kwa nenoHapo kwenye kiingereza umenipiga chenga ya rejareja π
πππππ njoo geto basi shemeji nikutafsirie neno kwa nenoHapo kwenye kiingereza umenipiga chenga ya rejareja π
Haya mwenye akiliWewe akili huna, unadhani kwa siku anatamka mara moja?
Ay am kaming' shemejiπππππ njoo geto basi shemeji nikutafsirie neno kwa neno
Shemeji kwa nani?Shemeji jamani umesahau nimesoma MAKERERE UNIVERSITY πππππ
Kwa Poor Brain ππShemeji kwa nani?
Ameshachanganyikiwa huyo DraculaRais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais pekee aliyejitambulisha kwa cheo cha UAMIRIJESHI MKUU mara 3129 ndani ya kipindi cha miaka minne huku watangulizi wake walikuwa wakitambulishwa na wengine .
Wataalam wa phycology kitaalam jambo husika linatoa tafasiri gani kiroho na kimwili?
Na mnatoa ushauri gani kwa kiongozi wetu .
HAJIAMINI!!.Wazee wa kukuza jambo, haya Kwahy mmesema ina maana gani?
Sametimes Akili huwa zinakurudiaga π€£π€£Ni kukosa kujiamini kunakotokana na kutokuwa na viwango au sifa stahiki ya kushika nafasi hiyo.
"Whoever must say 'I AM THE KING' he is no true King" - Charles Dance 2014.
NI DALILI ZA UOGA NA KUTOJIAMINI HASA UKIZINGATIA JINSIARais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais pekee aliyejitambulisha kwa cheo cha UAMIRIJESHI MKUU mara 3129 ndani ya kipindi cha miaka minne huku watangulizi wake walikuwa wakitambulishwa na wengine .
Wataalam wa phycology kitaalam jambo husika linatoa tafasiri gani kiroho na kimwili?
Na mnatoa ushauri gani kwa kiongozi wetu .
Ila bichwa daaahKwa Poor Brain ππ
Nini sasa jamani shemeji kwani uongo ππππππIla bichwa daaah
Nimekumiss shemeji ππππNini sasa jamani shemeji kwani uongo ππππππ
Tuko nae hapa tunaenda bao la saba πππππππNimekumiss shemeji ππππ
Mbaga kakuficha nn
Anatumia dawa gani mbona mi nashindwa kabisa an mi vitano tunchaliiiiTuko nae hapa tunaenda bao la saba πππππππ