Ila walifumuliwa vidali oktoba inakua yeye ndiyo muuaji!?Atoe kwani ni mali yake binafsi hiyo?
Akisema isiende haiendi?Hiyo ndege ni ya Samia binafsi hadi atoe yeye?
Kwahiyo asingetoa hiyo ndege wangerudi kwa miguu?Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,
Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema ndege hiyo itawasafirisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa timu walioko Morocco, wakiongozwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Paul Makonda.
Msigwa alisema hatua hiyo imelenga kutambua mchango wa Taifa Stars katika kuipa Tanzania heshima barani Afrika, licha ya timu hiyo
Mbali na hilo, Rais Samia amepanga kuwaalika Taifa Stars katika chakula cha mchana Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026, kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji hao
Ndege hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho Januari 6, 2026, saa 9:00 alasiri kuelekea Rabat na kurejea nchini Januari 7, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Mwafrika ni kama mweusi si wa langi tu hata akili.Ila walifumuliwa vidali oktoba inakua yeye ndiyo muuaji!?
linavyolia mabati hovyo humo ndani yaan lindege tiamaji tiamajRais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,
Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema ndege hiyo itawasafirisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa timu walioko Morocco, wakiongozwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Paul Makonda.
Msigwa alisema hatua hiyo imelenga kutambua mchango wa Taifa Stars katika kuipa Tanzania heshima barani Afrika, licha ya timu hiyo
Mbali na hilo, Rais Samia amepanga kuwaalika Taifa Stars katika chakula cha mchana Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026, kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji hao
Ndege hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho Januari 6, 2026, saa 9:00 alasiri kuelekea Rabat na kurejea nchini Januari 7, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Hivi huyu huwaga ana akili hata moja? Alisoma wapi? Amebakia kuwa chawa siku zote....Nchi inaangamia kwa kuwa na walamba matak* wa Samia.Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,
Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema ndege hiyo itawasafirisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa timu walioko Morocco, wakiongozwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Paul Makonda.
Msigwa alisema hatua hiyo imelenga kutambua mchango wa Taifa Stars katika kuipa Tanzania heshima barani Afrika, licha ya timu hiyo
Mbali na hilo, Rais Samia amepanga kuwaalika Taifa Stars katika chakula cha mchana Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026, kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji hao
Ndege hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho Januari 6, 2026, saa 9:00 alasiri kuelekea Rabat na kurejea nchini Januari 7, 2026, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora,