Samia ametoa ndege aina ya Boeing Dreamliner kwenda kuwachukua Taifa Stars nchini Morocco

Samia ametoa ndege aina ya Boeing Dreamliner kwenda kuwachukua Taifa Stars nchini Morocco

Anajaribu kutaka ku-win "mamoyo" ya Watanganyika wenye hasira kwa bei rahisi.Not that much easy!Ajaribu tena kivingine.
 
Tutegemee disruptions kwenye commercial flights za ATC ndani na possibly nje..
 
Kazi ipo🙌🏽
Kwa hizi comments
Kibarua bado ni kigumu,kazini kuna kazi .
 
Back
Top Bottom