Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 608
Hii leo Mgombea wa urais kupitia CCM ametua mwanza na ndege ya nchi, Naomba kufahau hii ndege ilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kukiwa na abiria wengine au yeye binafsi na wafuasi wake? hii ni aibu sana unatumiaje ndege ya nchi kwenye kampeni za chama? watanzania tuamke usingizini tunapigwa hawa wanaona kila kitu cha nchi hii ni mali ya CCM.