Hii leo Mgombea wa urais kupitia CCM ametua mwanza na ndege ya nchi, Naomba kufahau hii ndege ilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kukiwa na abiria wengine au yeye binafsi na wafuasi wake? hii ni aibu sana unatumiaje ndege ya nchi kwenye kwenye kampeni za chama? watanzania tuamke usingizi tunapigwa hawa wanaona kila kitu cha nchi ni mali ya CCM.
Captain yupo salama kweli?Ndiyo hicho kiburi chenyewe. Anatumia rasilimali za nchi hata kwenye kampeni zake binafsi.
Captain Tesha anamuona .
Dah! Sherehe, nderemo na vifijo vingetawala kote.Hilo dege ilifaa lidondokee katikati kbs ya ziwa victoria!
huyo tesha hamtamuona tenaCaptain yupo salama kweli?
πππWrite your reply...ndege na tbc vyote wamekodi ccm