Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.

Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.

Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
 
1)Fanya kazi

2)Pungumza kulialia

3)Na wewe tafuta fursa uitumie

4)ukipata fursa utatulia tu

Ova
 
Kila awamu kuna watu huwa wanafaidi hiyo kawaida mzee
Hata awamu iliyopita kuna watu walikula kuku&burger

Ova
Sio kwa staili hii ya burger za DC na New York.

Kina mama ntilie wanakimbizana na mgambo huko mtaani ili kulipia bili za wachache huko DC wakila raha kwenye mahoteli ya gharama.

Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.

Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.

Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
Yeye ndiyo mtalii no moja, fikiria mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindua Marekani upo serious kweli?
 
Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.

Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.

Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
Mwadera ng'wanike!!
 
Sio kwa staili hii ya burger za DC na New York.

Kina mama ntilie wanakimbizana na mgambo huko mtaani ili kulipia bili za wachache huko DC wakila raha kwenye mahoteli ya gharama.

Mama ntiliee wameanza kimbizwa leo

Wao ni mtaji na wataendelea kuwa mtaji

Nchi hii watu wanaishi bana kama wako peponi, mm na wewe ndiyo
Tunapigika,ila ss wengine tushakubaliana kupigika furesh tu
Maana hamna namna

Ova
 
Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.

Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.

Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
Wapo kina Mpango na Majaliwa na wasaidizi wengine wengi tu. Kaenda kule kuvutia watalii, hizi nongwa nyingine tujaribu kuachana nazo.
 
Anatafuta fursa wakati yeye ndie fursa,
Alafu usije kuta kapata kibenten cha kizungu kinamkojolesha tu huko
 
Washauri wake Posho zinaongezeka tu...

Watarudi na vibunda vya kutosha
 
Back
Top Bottom