Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
1)Fanya kaziNi wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.
Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.
Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
Kila awamu kuna watu huwa wanafaidi hiyo kawaida mzeeMaisha ni matamu sana huu ni muda wa kutumbua burger na kuishi maisha mazuri kwenye mahoteli huko Marekani.
Nani asiyependa kufanya hivyo.
Sio kwa staili hii ya burger za DC na New York.Kila awamu kuna watu huwa wanafaidi hiyo kawaida mzee
Hata awamu iliyopita kuna watu walikula kuku&burger
Ova
Yeye ndiyo mtalii no moja, fikiria mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindua Marekani upo serious kweli?Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.
Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.
Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
Mwadera ng'wanike!!Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.
Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.
Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
Mama ntiliee wameanza kimbizwa leoSio kwa staili hii ya burger za DC na New York.
Kina mama ntilie wanakimbizana na mgambo huko mtaani ili kulipia bili za wachache huko DC wakila raha kwenye mahoteli ya gharama.
Wapo kina Mpango na Majaliwa na wasaidizi wengine wengi tu. Kaenda kule kuvutia watalii, hizi nongwa nyingine tujaribu kuachana nazo.Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii.
Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho.
Je,Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!
HahahaYeye ndiyo mtalii no moja, fikiria mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindua Marekani upo serious kweli?
Aibu snHahaha
Wana vuna kabisa wala hawali tena wamesha shibaKiongozi mtoro hawa mawaziri waliobaki sipati picha wanavyo kula zaidi ya urefu wa kamba zao.
Kwahiyo kawachoka akina Uhuru na Museven kafata damu za kimarekani?Anatafuta fursa wakati yeye ndie fursa,
Alafu usije kuta kapata kibenten cha kizungu kinamkojolesha tu huko