Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi?

Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima.

hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini sasa kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika?
 
Endeleeni kumwimbia nyimbo za kusifu na mapambio tele,msilalamike maana kuna kauli mliitoa badaa ya wiki moja tu akiwa amepata kiapo nayo ni "Anaupiga mwingi"
 
akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi.

Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima.

hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini sasa kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika?
Yaani hapo ulipo unaamini kabisa kuwa una akili?
 
akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi.

Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima.

hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini sasa kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika?
Ivo mnakuwaga hamna cha kuandika au? Na sehemu nyingine duniani chanjo kapeleka yeye? Watu zaidi ya billion 2 duniani wamechanja ,alafu hapa bongo ndo muhujumiwe!kwa kipi?
Wewe mfuate huyo Ngwajima wako,wengine tushampuuza kitambo tu,tunawasikiliza wenye fani zao sio wapiga debe.
 
Napenda sana niione ramani ya Tanganyika pekee na pia ramani ya Zanzibar pekee, then ramani ya Tanzania.
Hii itasaidia kuzielewa nchi zilizoungana kama zikitengana zitaonekanaje kiramani kwa jicho la kimataifa au hata kabla ya kuungana tarehe za nyuma ya April 26, 1964 ramani zao zilikuwaje?
 
Back
Top Bottom