Yaani hapo ulipo unaamini kabisa kuwa una akili?akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi.
Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima.
hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini sasa kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika?
Ivo mnakuwaga hamna cha kuandika au? Na sehemu nyingine duniani chanjo kapeleka yeye? Watu zaidi ya billion 2 duniani wamechanja ,alafu hapa bongo ndo muhujumiwe!kwa kipi?akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi.
Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima.
hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini sasa kuna Zanzibar lakini hakuna Tanganyika?