Usisahau kuwaogesha wapwa zajoUnanitoa kwenye reli nani kakwambia mimi mpishi, sikia km huna cha kuongea pita hivi sinaga story na chawa malaya
Unaitwa na shemeji yako ukale ugaliMALAYA SHAMMY nakusalimu kwa jina la Tanganyika.
Ushamaliza kufirwa na Abdul wewe chawa malaya?Usisahau kuwaogesha wapwa zajo
Ni upuuzi mtupu..Huyo kijana hawezi kuwasandia ni upumbavu mtupu baada ya kufanyia kazi mambo ya utekaji mauji, rushwa, na Ufisadi nafikiri huyo kijana anaweza kuwasandia?
Kweli sikio la kufa haliwezi kuskia dawa huyu dogo anaweza kuzuia Mauji, utekaji, rushwa, Ufisadi haki kwamba huyu dogo atafanya mihimili kua huru? Huyu kijana anaweza kubadilisha jeshi la police na kulifanya reforms acheni utoto basi
Madai ya GenZ ndo madai muhimu mambo serious sio utoto wa kuchukua motivational speaker mbona nyie ni watu wazima lakini mambo mnayofanya hayaendani na Umri wenu
Sijui nani kawadanganya maCCM tunahitaji motivation speaker sisi..wakati tunataka Katiba mpyaHuyo kijana hawezi kuwasandia ni upumbavu mtupu baada ya kufanyia kazi mambo ya utekaji mauji, rushwa, na Ufisadi nafikiri huyo kijana anaweza kuwasandia?
Kweli sikio la kufa haliwezi kuskia dawa huyu dogo anaweza kuzuia Mauji, utekaji, rushwa, Ufisadi haki kwamba huyu dogo atafanya mihimili kua huru? Huyu kijana anaweza kubadilisha jeshi la police na kulifanya reforms acheni utoto basi
Madai ya GenZ ndo madai muhimu mambo serious sio utoto wa kuchukua motivational speaker mbona nyie ni watu wazima lakini mambo mnayofanya hayaendani na Umri wenu
Kuna mambo yanafanyika unabaki kujiuliza hawa kweli wanatafakari kweli?Sijui nani kawadanganya maCCM tunahitaji motivation speaker sisi..wakati tunataka Katiba mpya
Ben R. Mtobwa na harakati za Joram Kiango. Unasoma kama unaangalia move.Mtunzi alikuwa Elvis Msiba, hakuna cha AI Wala nini, unasoma vitabu vyake hadi mwili wa sisimkA! Kuna baadhi ya Chapter za kitabu cha njama. Ulipokuwa ukimaliza kuzisoma, unakuwa tayari unajua Willy Gamba kama tayari ni....!!! Sema hakuna kitu iliniuma kama 'kuondoka' kwa Veronica!!!
Naye alikuwa mtata, Kuna kazi yake moja iliishia Morogoro!!! Ilikuwa si ya kitoto. Huyu naye alikuwa vizuriBen R. Mtobwa
Can your do what he did please. Just ego inakufanya umshushe ili uone Kama hana legacy. Yeye akaongea vitu akaweka vitu mtandaoni YouTube , wewe fanya anything uweke mtandaoni upate views hata buku inatosha tuoneHivi ukiwa motivation speaker unakuwa na legacy?
Kuandika na kutunga vitabu kwa ku copy na ku paste kwa msaada wa AI unakuwa na legacy?
Simchukii jamaa, nachukia motivational speakers. Kwa jinsi alivyokuwa anaji'brand' lazima wangemchukua tu.mshamba_hachekwi usie mtaka Joel Nanauka ,CCM imempa uwaziri kamili.
Yan 😂 Motivation Speaker ndio aje kuwa waziri wa Gen z .
Serikali imegoma kuwajibika kwa wananchi, inatafuta watu kuja kupiga balaa blaa