Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Wewe unamwamini mleta kwamba kweli Samia ana mpango huo?Hafai
Katika nyuzi ambazo huwa nikiziona tu nazipita kimya kimya kama naaga maiti ni hizo!Kuna mambo yanachekesha kwelikweli, kumeibuka nyuzi kibao hapa jukwaani zikimwonesha Kafulila kama mtu smart sana😂.
Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo kiharamu, tumekaa palee tunasubiri uchaguzi.
Samia akili zake unazijua?Wewe unamwamini mleta kwamba kweli Samia ana mpango huo?
Hahahaa kuna wahuni wamepewa kazi ya kumchora Kafulila kama genious fulani hivi.Katika nyuzi ambazo huwa nikiziona tu nazipita kimya kimya kama naaga maiti ni hizo!
Acha maswali ya hovyo, kwani Mimi ni chivayo?Samia akili zake unazijua?
Sema tu hii picha inafikirisha sana! Watanganyika kadhaa waliokwenda kutoa pole walionekana wamepiga magoti, huku mfiwa akiwa amekaa kwenye kiti! Amekuja huyu bonge nyanya, mfiwa yule yule anaonekana amenyanyuka na kukumbatiana naye!
Polepole alipo sema lijamaa lilimkumbatia siku chache baadae akapotezwa