GE2025 Samia ashangazwa na idadi ya watu Shinyanga kwenye kampeni yake leo

GE2025 Samia ashangazwa na idadi ya watu Shinyanga kwenye kampeni yake leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.



1760182643864.png
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua
 
Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Tabora, Geita, Dodoma na Tanga zitabaki kuwa ngome imara za CCM milele na milele
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mhhhh...
Ngoja nilale, nikiamka kesho nitafute mbinu za kuboresha biashara zangu...
Huu uanaharakati unakatisha tamaa...
 
Mkuu mbona watanzani hatupendi kusikia ukweli? Hizo ni ngome za CCM na kimsingi kuna mikoa pia hajaitaja.. jamaa wana ngome zaidi ya mikoa 10+ ambazo wanaweza kufanya sweep. Na hii ndio siri ya kiburi cha CCM.

Na sio kosa kuwa na ngome zako.. mfano US, jimbo la California ni ngome ya Democrats (solid Blue state) - zaidi ya electoral votes 55... (hata mgombea wa Republican awe imara namna gani, California imekuwa ikivote blue)
Huna aibu. Mnasomba wanafunzi mashuleni then unasema mna wingi wa wapi?

????
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.


Abashangaa nini wakati eote wamevaa mavazi ya CCM.

Kuvaa mavazi ya CCM ni ishara kuwa either ni WanaCCM au wamepelekwa hapo na CCM yenyewe.
 
Na bado ccm hawataki katiba mpya na reforms kwa tume na sheria, kanuni za uchaguz bila kusahau lissu hakutakiwa kugombea naye.
 
😂😂😂😂😂😂😂
Ukiingia kwenye siasa na akili zako timamu utafeli tu
 
Akitaka kujipima muitikio halisi kwenye mkutano ajaribu japo mara moja tuu kufanya hv.
Wasisombe watu kuja mkutanoni na pili wasitumie wasanii just matangazo ya mkutano halafu aone idadi ya watu itakuwaje!
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Huo Mkoa una shule nyingi sana za sekondari za serikali na vyuo vya kati bila shaka jibu umelipata.
 
Mkuu mbona watanzani hatupendi kusikia ukweli? Hizo ni ngome za CCM na kimsingi kuna mikoa pia hajaitaja.. jamaa wana ngome zaidi ya mikoa 10+ ambazo wanaweza kufanya sweep. Na hii ndio siri ya kiburi cha CCM.

Na sio kosa kuwa na ngome zako.. mfano US, jimbo la California ni ngome ya Democrats (solid Blue state) - zaidi ya electoral votes 55... (hata mgombea wa Republican awe imara namna gani, California imekuwa ikivote blue)


????
Kama kweli ni ngome za CCM wamuachie Tundu Lissu
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Ningeelewa kuwa ashangaa kujaa watoto wa shule,ila kwakuwa picha zina dangana nazo acha iwe hivyo hivyo!
 
Back
Top Bottom