Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Shinyanga hata sisi CHADEMA huwa tukienda tinajaza nyomi la hatari utakuta ni wananchi hao hao wamevaa sare za CDM labda kama kungekuwa na boxi la kura huru tungelijua wanaShy wanataka viongozi wa chama gani.
Kwa hiyo anashangazwa tu na idadi kubwa ya watu, ila hashangazwi na idadi ya mikokoteni na malori yaliyotumika kuwabeba hao watu kama ng'ombe kutoka maeneo ya pembezoni!