Samia ashinda tuzo ya Tyrant of the Year( Mtawala Mbaya wa Mwaka)

Kama Ris Samia kushinda kwake iyo tuzo kumekuwa faraja na furaha kwa baadhi ya watu katika Jamii yetu,
ziandaliwe tuzo nyingi za aina iyo na Samia aibuke kidedea ili ziendelee kuwafurahisha wahusika angalau lile Donge la uchungu lililo kaa moyoni mwao liondoke.
 
Messi ni mchezaji bora wa dunia kuwahi kutokea na bado anacheza mpira, lakini kwa nini Sasa hivi anazungumziwa zaidi lamine yamal na sio Messi?
 
Hii itawakela machoko na machawa. Uko sahihi mwanangu
 
Hiyo tuzo alistahil Netanyahu, napinga matokea, tume haikuwa huru
 
The most amazing thing ni kwamba ameshinda pasina kuiba kura wala kutumia nguvu za vyombo vya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…