Samia ashinda tuzo ya Tyrant of the Year( Mtawala Mbaya wa Mwaka)

Naomba kujua ameshinda kwa asilimia ngapi. Ingefaa akashinda kwa asilimia 98.
 
Ili jambo jema au baya? Sijaelewa hapa.
 
Samia anaendelea kuweka rekodi Duniani.
Katika shindano la kuwashindanisha marais wote Duniani iikumpata Rais Katili na mgandamizaji zaidi Duniani, kuliko mwingine yeyote, Samia ameibuka Kidedea, na kuwa mshindi pekee asiyekaribiwa na yeyote. Na yeye mwenyewe inaonekana amefurahia sana hiyo tuzo, maana akihutibia huko Zanzibar, amejisifu kuwa kwa yaliyowapata watu wa Dar Oct 29, hakuna yeyote mwenye hamu ya kuandamana.

Samia ametangazwa kuwa ndiye Rais Tyrant kuwazidi wengine wote.
Tyrant maana yake ni mtawala katili, na mgandamizaji, kwa kiingereza neno tyrant linatafsiriwa kwa maneno mawili, 'Cruel and oppressive'.
KUshinda rekodi ya Dunia, tena kuwa mwanamke wa kwanza kushinda Duniani, siyo jambo dogo, ni vema yakafanyika maandamano ya kumpongeza kwa taji hilo alilolikwaa. Na waandaaji wa shindano, baada ya kumtangaza ndiye mshindi, wafanye utaratibu wa kumkabidhi taji lake, ikipangwa siku maalum ili Ulimwengu wote ushuhudie.

Habari kamili ni hii:

Tyrant of the year 2025: Samia Suluhu Hassan
Magufuli the Bulldozer's successor

Index on Censorship
09 Dec 25
Africa | Tanzania | Tyrant of the Year.
Tanzania had high hopes for Samia Suluhu Hassan, even though she was the leader of Chama Cha Mapinduzi, which had dominated Tanzanian politics since the party's formation in 1977, and she was the successor of John Magufuli, whose campaign of repression escalated in his final years. Still, when she came to power in 2021 restrictions on the media and protest were loosened. But as the old adage goes, absolute power corrupts absolutely and with her eyes on election victory this year she spearheaded a brutal campaign to crush dissent. This has seen the main opposition leader jailed, alongside many others, the opposition party barred from participating in the elections, and several high-profile critics murdered.

In October, Hassan “won” the “election” with 98% of the vote. With allegations of election fraud only growing, anti-government demonstrations erupted. These were met with violent force and mass arrests. Hundreds of people were killed, and crimes were masked under internet shutdowns (not for the first time either – there was a nationwide internet blackout in the lead-up to the elections too). Three leading news outlets also had their websites banned following the publication of content deemed anti-government. More nationwide protests are planned, for 9 December, and the protest organisers have once again been arrested. Magufuli was nicknamed the “bulldozer”, and the time has come to give Hassan a nickname too. Tyrant could suffice.

To cast your vote, click on your chosen tyrant's face below and then click on the Vote button. And if you want the winner delivered straight to you in early January, sign up to our newsletter – you’ll then be the first to know who claims the crown no one wants.
 
Lakini amepata habari hii " NZURI" kwake?
 
Hongera kwake Kwa kupeperusha bendera ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…