Samia ashinda tuzo ya Tyrant of the Year( Mtawala Mbaya wa Mwaka)

Netanyahu na Putin hawajafanya deliberate massacre dhidi ya raia wao, Samia deserves that 'amazing' win.
Hamna kazi, mijizi na mijambazi kama ile nani angeiacha?!!!! Nendeni kwa trump huko.....atawafirimba hamtoamini.
 
Ushindi wa kushindo wa kiongozi muuwaji duniani kuna tupa picha juu ya ulaghai wake na kwamba yeye si rais amejipachika madaraka kwa kuuwa.

Mawe yatapiga kelele amewekwa madarakani kwa mapenzi ya shetani na ibirisi ndio maana ameuwa, amesingizia wengi uongo amepora haki za watanzania huyu sio mungu aliyekuweka bali joka
 
Umeshawahi kuona Netanyahu na Putin wakiua raia wao ?!. Wanawaua wageni kutetea raia wao
 
Kura yangu imeenda kihalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…