Samia ashinda tuzo ya Tyrant of the Year( Mtawala Mbaya wa Mwaka)

Huo ndio ushindi pekee aliopigiwa kwa haki.

Anastahili kabisa kamzidi mpaka Nentanyau aliowauwa wagaza lakini hakuthubutu kuua watu wake…!!

Amefanya wanawake wote waonekane makatili hawatakiwi kupewa nafasi za juu za uongozi..!!
 
Mod vipi,matusi ruksa tujue
 
Haibu sana hii, tz ndo tumefikia hapa yani , Taifa litavuka tu
 
Samia amaejua kupiga kazi , kuua watu 23,000 kwa siku nne tu siyo kazi ndogo, kwa kweli amestahili kabisa tuzo hii, hapa hata shetani mwenyewe anatetemeka.
 
Samuya ni GAIDI ,yeye ndiyo mtoa maelekezo wa MABAYA yote ya UTEKAJI ,UUAJI yanayotokea TZ.

Mtu yeyote atakayepiga au kusema kuhusu utekaji lazima SAMUYA atapita naye ,ndiyo maana Spika mstaafu 2CRY aliogopa kuongelea ,Simbachawene kagusia kafukuzwa ,polepole kazungumza katekwa pia ,Gwajima kazungumza akafungiwa makanisa yake.
 
Itabidi aende Ummrah kule Makah kutubu madhambi yake akishike jiwe jeusi kama Kikwete na Janabi walivyokwenda baada ya kumuua Magufuli..
Kushika tu Haitatosha labda Alingoe aje nalo, au Abakie huko huko mpaka siku anayokufa.

Na sidhani kama anajua kama Atakufa
 

View: https://youtu.be/40-ATVQ5DHg?si=-ilMc0dfonVjnc_rSijui yeye na Mwigulu Nchemba watajisikiaje pale Tundu Lissu atakaposhinda na kutunukiwa Tuzo ya dunia ya Amani ya Nobel, World Nobel Peace Prize?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…