Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Kesho ni Januray 27.
Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65.
Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Endapo atashinda uchaguzi huo, kwa umri wa miaka 65 atakuwa ndio Rais mwenye umri mkubwa kuchaguliwa kwenye kiti cha Urais. Itakuwa ni rekodi ya kipekee kando ya ile rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Rais pengine tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Happy birthday in advance Madam President.