Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Machawa promax 🙌Utabiri: Kesho ni siku ya akina Lucas Mwashambwa, Dotto Magari, Mwijaku, Baba Levo na wengineo wa kariba hiyo kupost kwa wingi kwenye platform mbalimbali kuhusu “basdei ya taifa”
Yeye sio mtumishi wa umma lakini🤣Miaka ya kustaafu ni 60 kwa lazima, sasa mtu ana 65 anafanya nini ofisini?
Happybirthday mh RaisKesho ni Januray 27.
Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65.
Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Endapo atashinda uchaguzi huo, kwa umri wa miaka 65 atakuwa ndio Rais mwenye umri mkubwa kuchaguliwa kwenye kiti cha Urais. Itakuwa ni rekodi ya kipekee kando ya ile rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Rais pengine tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Happy birthday in advance Madam President.
Samia tunampa tena nchi hadi 2035,akimaliza tunampa Abdul nchi,Na bado Kuna watu wanataka aendelee hadi 2030 🙌
Mna raha sana huko aiseeMiaka ya kustaafu ni 60 kwa lazima, sasa mtu ana 65 anafanya nini ofisini?
Hadi kufikia 2035 sisi Wazee tutakuwa tumekufaSamia tunampa tena nchi hadi 2035,akimaliza tunampa Abdul nchi,
Kwahiyo muandae panadol za kutosha kupooza maumivu mzee!
Kaburi lako nalo litaenda utumwani.Hadi kufikia 2035 sisi Wazee tutakuwa tumekufa
Kazi mnayo nyie Vijana, mtauziwa Kila kitu huku mkibaki watumwa kwenye Nchi yenu
Kesho ni Januray 27.