Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
ya ruto iko wapRuto, museveni wamepewa pia. Haina issue hiyo tuzo
bado miaka 5 ya kuugua kabisa ana wiki tu uongozini umekua mwekundu ivoStupid spinning
tufanye kashinda mange kimambiStupid spinning
Wachana na mimi kenge weeetufanye kashinda mange kimambi
vumilia usije ukapata presha πWachana na mimi kenge weee
unateseka ukiwa wapWachana na mimi kenge weee
πππ watu mnakejeli za karibu kaributufanye kashinda mange kimambi
bado miaka 5 ya kuugua kabisa ana wiki tu uongozini umekua mwekundu ivo
saf sana, Mama 20 tena
Tupo busy na D9 acha uzwazwaGoli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho
===================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Maalum na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka.
Tuzo hiyo imekabidhiwa leo Jumatano, Novemba 19, 2025 jijini Rabat, Morocco kunakofanyika hafla ya Tuzo za CAF 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ndio amepokea tuzo hiyo kwa niaba ya Rais Samia
Inapendeza sana.