Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam ambapo akiwa huko amesema, "Niwaombe viongozi hatuna sababu ya kuto kutoka kwenda kwa Wananchi kukitafutia Chama Cha Mapinduzi Kura za ushindi wa kishindo. Niwaombe twende Kata kwa Kata, Kijiji kwa Kijiji, Mitaa kwa mitaa, Nyumba kwa Nyumba na hili ni viongozi wa Chama lakini viongozi wetu wa Kimila mnaweza mkatusaidia pia kwasababu nanyi mna sauti kubwa sana mlikotoka..."