Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Angefanya jambo kubwa iwapo ikawepo kampeni ya matajiri kuchangia jamii maskini billion 100 kila mwezi kwa ajili yakupunguza ugumu wa maisha kwa maskini wa taifa hili.Kama iliwezekana kuichangia ccm ndani ya masaa machache,ndani ya kila mwezi kwa matajiri wa chama jambo dogo sana.Aache usanii, kura za ccm ziko NIDA.
Mtakaa mnasema hivi mpaka lini ?Aache usanii, kura za ccm ziko NIDA.
Mpaka keshoMtakaa mnasema hivi mpaka lini ?
SawaMpaka kesho
Samia Yuko sahihi sababu yeye mwenyewe ni Chifu mkuu wa machifu wote Tanzania wa makabila yoteWakuu!
Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam ambapo akiwa huko amesema, "Niwaombe viongozi hatuna sababu ya kuto kutoka kwenda kwa Wananchi kukitafutia Chama Cha Mapinduzi Kura za ushindi wa kishindo. Niwaombe twende Kata kwa Kata, Kijiji kwa Kijiji, Mitaa kwa mitaa, Nyumba kwa Nyumba na hili ni viongozi wa Chama lakini viongozi wetu wa Kimila mnaweza mkatusaidia pia kwasababu nanyi mna sauti kubwa sana mlikotoka..."
Ndiyo maanaTu
Samia Yuko sahihi sababu yeye mwenyewe ni Chifu mkuu wa machifu wote Tanzania wa makabila yote
Anaitwa Chifu Hangaya na alitawazwa hakujipa huo uchifu
anashindana na nani/Wakuu!
Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam ambapo akiwa huko amesema, "Niwaombe viongozi hatuna sababu ya kuto kutoka kwenda kwa Wananchi kukitafutia Chama Cha Mapinduzi Kura za ushindi wa kishindo. Niwaombe twende Kata kwa Kata, Kijiji kwa Kijiji, Mitaa kwa mitaa, Nyumba kwa Nyumba na hili ni viongozi wa Chama lakini viongozi wetu wa Kimila mnaweza mkatusaidia pia kwasababu nanyi mna sauti kubwa sana mlikotoka..."
Mpaka kesho kutwaSawa