Samia/CCM hata mkimtoa Nchimbi aminini ya kwamba kuna mwingine mnaemuamini ni mwenzenu ataibuka

Samia/CCM hata mkimtoa Nchimbi aminini ya kwamba kuna mwingine mnaemuamini ni mwenzenu ataibuka

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Ujue haya mambo inatakiwa kukaa kwa makini na kuyataftia ufumbuzi wa kina.

Alianza Ndugai akaona Mwanga kama Sauli akawa Paulo...mkamshinikiza na kina Msukuma wakiwa mstari wa mbele..

Mzee wa watu mkapita nae..ikaenda mkahisi mmetibu tatizo..na wakat huo polepole hakuonekana kama threat ila after ku-mueliminate Ndugai.

Akaibuka polepole akawavua nguo kila engo na akafyeka hadi vichaka vya kujifichia..mkaona njia bora ni kupita nae maskini.. mkapita nar.

Mkahisi mmemeliza tatizo na wakat huo Nchimbi hakuwahi kuoneka ni threat kama leo hii aliku upande wenu.

Akawaepo Mzee Godfrey mchagga mkampa kesi mbaya mkahisi mmemaliza tatizo.

Ila leo hii Nchimbi kaibuka nae ameona Mwanga kama sauli anataka kua Paulo.

Swali ni mta eliminate wangapi?..
Na mbaya zaidi msifikirie mkimla kichwa Nchimbi atakae kuja atakua mtu wa profile ndogo hapana.

Msishangae round hii akawa Kassim au akawa pinda yani msishangae na lazima awe mtu mzito.

Hili kaeni mlitafutie ufumbuzi wa kina.

#MTG⚖️🇲🇽
 
GT mnacheza ngoma ya CCM na mnachezeshwa watakavyo.
Inasikitisha sana.

Lowassa alijiuzuru uwaziri mkuu mwaka 2008. Yote haya hamkumbuki?????????

Imasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom