Najiuliza tamasha hili nani anafadhili?
Limejaa watumishi wa Mkoa wa Mwanza nadhani ndiyo wameanzia mwanza ila hii CHALLENGE inaenda mikoa YOTE!
Walimu hawajaachwa nyuma. wana kwaya nzuri sana.
Kuna waimba mashairi na wacheza ngoma.
Je, mfadhili ni nani? Nilishuhudia mwaka 2015 Lowasa akienguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa kigezo cha kuanza KAMPENI mapema!
Je, hiki kinachofanyika saivi ni tamasha ambalo nani kabuni na mfadhili ni nani?
Tukisema ni KAMPENI za mapema tunakosea?
Huu uchawa mwisho wake lini?
Walimu wameonekana wakimchangia fedha, Leo hii wapo wanaimba kwaya kumpigia mama kampeni maisha ya Mwl ni duni sana.
Pia soma: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?
Halafu Leo hii ndo kiherehere cha kumpigia mama KAMPENI.
Walimu mnafanya kazi kubwa sana ila ndo sekta ambayo hata baloz anaweza kukupangia Cha kufanya, na mna madeni kila Kona kutoka a na kazi yenye kutokuwa na posho ispokuwa ukienda kusimamia mtihani au kusaisha.
Lakini na uchawa huu maisha yenu yatabaki ya omba omba tu.
HONGERA SANA SAMIA CHALLENGE, UMEONESHA KUWA WEWE NI MBUNIFU KWA KUANGALIA UJE NA NINI KABLA YA KAMPENI KUU 2025