GE2025 Samia eti anasubiri atangazwe, sasa akitangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu bibi ni laana Heti anasubiri atangazwe sasa akisha tangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani ?

Sisi tume mkataaa, sababu kuu za maandamano lazima zizingatiwe sio ombi ni lazima
Ataongoza walio jitokeza ktk kampeni zake, na wale ambao hawaja jitokeza. Walio piga kura na wasio piga kura.

Ni kosa la ki-mantik kufikiri SSH alijipachika kwa kiti cha urais, au maamuzi yalifanyika kwa kurupuka.

Kupitia yeye tunayo fursa ya kupata mbadiliko ya katiba ili tuweze hama ktk siasa hizi na mkwamo unajengeka ktk taifa, ila yote yatategemea na utayari wetu wananchi hasa wale wa vyama upinzani wataendesha siasa za aina gani. Ni maoni tu
 
Hao waliojitokeza mbona hatuwaoni Mabadiliko ya katiba kwa kubambizia kesi watu, utekaji na ukandamiazaji huu wewe kweli msukule
 
uwaone wapi tena Genius man?
Mabadiliko ya katiba ni mambo tunayo tarajia huko mbeleni, unayo sema wewe ni changamoto za sasa.

Nadhani wananchi wametoa ujumbe wa kutosha kuwa sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko ya mfumo wa kisiasa, natarajia CCM wamesikia na namuona SSH si kikwazo ktk kuleta mabadiliko hayo.
 
Kitabu changu cha dini kinakuita watu kama wewe ni wapumbavu, uongea tu kama vile unatumia matope, mtu anaye teka watu, fisaidi na amefanya udanganyifu kwenye huu uchaguzi akupe tume huru na katiba akili huna
 
Hayo ni matarajio yangu, kama wewe huyaoni sitakupinga pia.

Licha ya mapungufu yao, CCM imekuwa ikisikiliza wananchi, na nadhani sauti ya wananchi kuhusu haja ya mabaliko iko wazi. Mimi simuoni SSH kama kikwazo, ila nadhani ndani ya CCM wapo watu wanao weza kuwa kikwazo
 
imesikiliza wananchi gani ? uliwahi kuona nchi imechafuka kama hivi sasa endelea kuota dogo utakojoa kitandani
 
Yes labda tunajisahaulisha tu, Yaliokuwa yakitokea Zanzbar ktk chaguzi zote ni makubwa kuliko kilichotokea wakati huu.
Pili 2015 kurudi nyuma, chaguzi zilikuwa za moto kama hivi..fuatilia kutangazwa kwa Lema Arusha kwa mara ya kwanza, Mwanza wakati kina Wenje wanachukua majimbo, uchaguzi wa igunga, mara, mbeya, Iringa (kifo cha kina mwangosi) ...tofauti tu ni kuwa kwasasa Digital transformation inakuza au kufikisha kila tukio tofauti na wakati ule, + mis-information and fake news. Pia ile hatua ya CDM kujitenga na uchaguzi na kupanga kuzuia uchaguzi imeongeza tishio la usalama (huku likifungua milango kwa CCM kujishindia).

Yote kwa yote ni ujinga kushabikia hali hii, ndio maana nina shauku ya kuona Rais ajae akiwezesha kutupatia muafaka wa kuendesha siasa za nchi hii. Hilo ni muhimu sana.
 
Mbeleni ni Giza totoro…
Sijui ni Kwa nini huyu mama angangania kuiongoza nchi ili hali watu hawamtaki…
 
Back
Top Bottom