tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kuelekea uchaguzi mkuu unaofanyika oktoba 29, 2025, Mgombea nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Samia Suluhu Hassan siku ya jana oktoba 9, 2025 akiendelea na kampeni za kusaka kura Mkoani Mara amesisitiza kuwa wananchi wasidanganyike, hakuna majaribio ya kuiongoza nchi. Ameongeza kwa kusema wakipewa wapinzani nchi wanaenda kujifunza maana hawajawahi hivyo ni vema kuendelea kuwapa wenyeji ambao ndio wenye Serikali yaani Chama tawala Chama cha Mapinduzi kwasababu ni wazoefu.
Soma pia: Rais Samia: Serikali inayowekwa na CCM ina uzoefu mkubwa, sisi sio Wanafunzi hata kidogo, wengine waanze kujifunza kwanza
Soma pia: Rais Samia: Serikali inayowekwa na CCM ina uzoefu mkubwa, sisi sio Wanafunzi hata kidogo, wengine waanze kujifunza kwanza