jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Mara ooh Samia katoa bilioni kadhaa kwa ajili ya jambo fulani ama ooh Samia kakubali mkoa fulani upewe pesa zile-mimi Jitombashisho nasema tuondoleeni huo upuuzi wenu Samia hana hizo pesa.
Pesa ya Watanzania ya kodi ajabu mnammlikisha mtu kana kwamba zake huo ni uzwazwa na upunguani tena mkome mara moja!
Alaah!
..mwambie siye siyo wajinga.Kama ulimsikiliza vizuri Waziri wa Fedha Mama ni mmoja wa mabilionia wakubwa Tanzania.
Hata kama nilivutiwa na JPM lakini huo upuuzi niliupinga waziwazi na hata sasa naupinga kwa nguvu zote.Uzuri huu ujinga alianzishaga Magu na wapambe wake.Acha waenzi legacy ya Shujaa.
Mkuuu hii id yako ina maana gani??Mara ooh Samia katoa bilioni kadhaa kwa ajili ya jambo fulani ama ooh Samia kakubali mkoa fulani upewe pesa zile-mimi Jitombashisho nasema tuondoleeni huo upuuzi wenu Samia hana hizo pesa.
Pesa ya Watanzania ya kodi ajabu mnammlikisha mtu kana kwamba zake huo ni uzwazwa na upunguani tena mkome mara moja!
Alaah!
Ndio wanaendeleza legacy ya Shujaa wa Africa hivyo.Hata kama nilivutiwa na JPM lakini huo upuuzi niliupinga waziwazi na hata sasa naupinga kwa nguvu zote.
Eti Samia huyu huyu aliyekuwa analalamikia posho za wabunge ni ndogo leo ajabu kawa bilionea π?!
...hiyo hiyoMkuuu hii id yako ina maana gani??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hiyo hiyo