PostGE2025 Samia: Hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maridhiano gani ya kumteka Polepole ,mdude? Kwanini mnazidi kuteka watu kila kukicha? kwanini msiruhusu uhuru wa kutoa maoni? Rudisheni miili mliyozika kwa halaiki kwa ndugu zao wakawazike wenyewe.

Polisi iwe Service na siyo Force.
 
Nilijua waziri mkuu tu ndio dishi limeyumba kumbe huyu naye mwezi mchanga
 
Unatoa mifano isiyokuwa na ufanano na hali iliyotokea Tanzania, na inayoendelea kutokea.

Serikali ya Tanzania imeua raia wake waliokuwa wanadai haki, Sio hivyo tu walienda mbali zaidi kuua watu mitaani na majumbani, Watu hawa ni raia halali wa nchi yao, wanaolipa kodi direct au indirect Kodi hiyo ndiye inayoiweka serikali madarakani. Hata hivyo: baada ya mauaji, kuna baadhi ya miili haijapatikana hadi leo tumeingia mwaka mwingine.

Si hivyo tu, hakuna aliyewajibika wala aliyewajibishwa, Kumeendelea kuwa na kauli za kuwakandamiza victims (ambao wengine hawasikii sababu wameshafariki) na si hivyo tu bado kuna utekaji na ukamataji holela wa raia kwa makosa ya kuunda na uonevu. Kama haitoshi; Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani yuko detention, kesi yake haiendi mbele wala hairudi nyuma, Ulishasikia wapi kesi imeshaanza kusikilizwa gafla imepotezewa? Kwanini wasiendeshe kesi hadi mwisho hukumu itolewe? Watekelezaji wa haya yote ndio wanaohubiri amani na maridhiano.

Haya mambo yanafanana na hizo case ulizozitaja? Our case is different, tukiri tumekosea, watu wawajibike ndipo tuende mbele.
 
ICC sio mahakama za Tanzania
Kwa hiyo wanaweza kukamata yeyote, naona kama hili halitotokea kwetu kwa haya yanayoendelea kwangu ni kama sioni dalili ingawa inaumiza.Acha tuvute subra!
 
Kwa hiyo wanaweza kukamata yeyote, naona kama hili halitotokea kwetu kwa haya yanayoendelea kwangu ni kama sioni dalili ingawa inaumiza.Acha tuvute subra!
Wengine ilitokea vipi?
 
SAMIA NI MUUAJI
 
Naona kusoma umeshindwa kabisa. Shida sio kuachiwa, shida ni namna gani wanataka kumwachia. Hayo masharti ya kishenzi ndio amekataa, watu wanataka waje waweke mabango kama ya Mbowe na Samia, Lissu hataki hayo maigizo
 
Karidhiane na mkundv wa màlaya Samia sio Wattanganyika ,ungekuwa mhanga wa mauaji na ukatili dhidi ya raia October 29 ,usingekuja hapa kama punga kuongea upumbavu huu
 
Naona kusoma umeshindwa kabisa. Shida sio kuachiwa, shida ni namna gani wanataka kumwachia. Hayo masharti ya kishenzi ndio amekataa, watu wanataka waje waweke mabango kama ya Mbowe na Samia, Lissu hataki hayo maigizo
Tatizo lenu ni kuwa hamtaki kukoselewa. Ulisema kuwa wanataka kumuachia lakini wanashindwa kwa sababu Lissu amekataa masharti yao. Wangetaka kumuachia wasingemuwekea masharti. Wangemuachia tu na Lissu asingekuwa na namna ila kutoka lupango.

Tatizo lenu lingine ni kutaka kila wakati kum vilified Mbowe. Mbowe alikaribishwa Ikulu baada ya kuachiwa. Halikuwa sharti la kuachiwa. Na alipoenda Ikulu alizungumzia haki. Mpende msipende azungumzo ya maridhiano yalipunguza sana maumivu ya Chadema.

Serikali haina mpango wa kumuachia Lissu hivi karibuni. Simply put, wanapata ahueni akiwa ndani kuliko akiwa nje. Hawana sababu ya kumuachia.

Amandla...
 
Karidhiane na mkundv wa màlaya Samia sio Wattanganyika ,ungekuwa mhanga wa mauaji na ukatili dhidi ya raia October 29 ,usingekuja hapa kama punga kuongea upumbavu huu
Hivi mnapata faida gani mkitukana matusi ya nguoni?

Amandla...
 
Hii kesi ni ya kisiasa, wameingia kwenye box wenyewe. Hamna kesi pale, ni upumbavu tu ambao hakuna serious legal practioner anaweza kupeleka mahakamani.

Wanamuachiaje bila kuathirika politically? Hata kesi ya Mbowe ilikuwa na kipumbavu tu, lakini walitumia kisiasa mpaka kwenye kampeni za 2025. Mbowe alikaribishwa Ikulu, alienda kufanya nini na watu wanaofanya makusudi kutumia sheria kupinda haki? Ndio upumbavu uliotufikisha hapa
 
Ajiandaeee kuishi ICC miaka yake iliyobakia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…